World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Cisoko anatupia la pili hapa

Mkuu wazungu husemaga sie mutu nyeusi tunafanana,yule ni Blaise Matuidi,sio Cisoko mkuu...la la laa,cha tatu aah kakosa.waswis kama nyoka aliyemwagiwa kerosene,anatapatapa tuu teh teh,pole Mourinho,bora mie napunguza machungu,nakumbuka wewe ulisema team Swissair,teh teh,ila sitaki Pazi ashabikie france wala brazil,ana nuksi,baki nae huko huko geneva
 
Last edited by a moderator:
Matuidi atanunuliwa England msimu ujao sijui wapi? London,Newcastle,Liverpool, Manchester mji gani utamkaribisha?
 
aisee tuache kujipa moyo. Uruguay wana game spirit ya ajabu. Italy watacheza kwa pressure wakiogopa kuwa kama spain na england. Hii ni moja kati ya game gumu kabisa. Timu itakayoshinda itakuwa imejiongezea kujiamini na amin watafika mbali

Hiyo game itakuwa balaa...!
 
Benzemaaaaa dah dah!bahati yao!@kitoabu njoo uone mutu nyeusi ya ulaya inavyosakata kabumbu huku
 
Mkuu wazungu husemaga sie mutu nyeusi tunafanana,yule ni Blaise Matuidi,sio Cisoko mkuu...la la laa,cha tatu aah kakosa.waswis kama nyoka aliyemwagiwa kerosene,anatapatapa tuu teh teh,pole Mourinho,bora mie napunguza machungu,nakumbuka wewe ulisema team Swissair,teh teh,ila sitaki Pazi ashabikie france wala brazil,ana nuksi,baki nae huko huko geneva

Hahahahahaha! Mie mwenyewe #teamswizz lakini ndo ivo majanga!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom