Si halali kabisa.naona refa hajaona vzr[/QUOTE
Halali kabisa
Hapa solution ni teknolojia tu itumike badala ya hawa marefarii kuondoa hii migongano....Hata hakumgusa ila Costa ndo alimkanyaga kwa juu easy penalty kabisa
Ohh ilibaki kidogo kipa aiokoe hiyo penati
Hapa solution ni teknolojia tu itumike badala ya hawa marefarii kuondoa hii migongano....
Haya maamuzi yenye utata ndio yanaharibu ladha ya mashindano kabisa,,,,,,Hivi hakuna waangalizi wa golini kama CL?it's very unfair mechi kama hii kuharibiwa balance yake kwa maamuzi ya mara moja yasiyo sahihi.
Tusubiri dakika 90 tutajua nani ni mshindiSipendi hispania washinde
Inaonekana kama jamaa aliugusa mguu wa Costa pale.......