World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kadri ilivyo Spaniard wana asilimia 60 ya kushinda achilia mbali sifa za mpira.
 
Haya maamuzi yenye utata ndio yanaharibu ladha ya mashindano kabisa,,,,,,

Nadhani kuna haja ya kuapply teknolojia sasa.uwezo wa binadamu kuona na kutafsiri vitu vilivyo kwenye high speed ni ngumu sana.
 
Nipo sebuleni kwangu na my waifu wangu, kaninunulia kreti nzima na wine ili nisitoke. Zaidi kanunua na king'amuzi cha DSTV.

Naona Mkuu hapo sasa umeolewa Wewe na siyo yeye tena! Spain wanakosa goli LA pili hapa! Mkuu kwenye michepuko ulikuwa unatisha nini? Oranje 1 Van Persi hapa!
 
Goooooooli,,,,,,,,,,Van Persie, bonge la goli.
 
Van Persieeee!huyu jamaa ana akili,what an absolutely fantastic header!
 
Asante Van gol, umefanya mambo.!!!!!!!!!!!!
 
Huwa nashangaa sana tabia ya kuomba au kununua mbegu kama za mahindi, mihogo, mpunga,n.k ila kupandikiza /kununua mbegu za wachezaji tunasisita. Ebu washauri akina Malinzi, B. Wambura, Dewji, Manji na akina M. wambura hii kitu.

Izo mbegu za kiume tutoe sisi au wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…