World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Iran sijui wanauhusiano na Mourinho?naona wamepaki basi Argentina wanapata shida ku score
 
Dah iran wanakosakosa...hivi hii kama refa kwabania iran kuwapa penati?
 
WC hii nimeipenda bureeee, timu zenye majina zimekalishwa na timu zisizotegemewa.
 
Leo huenda kuna watu wa betting wakatajirika
 
Gogoooooo gooo lalalaa hataree iran wanakosa goli la wazi hapaa...kona
 
Hata England wanacheza vizuri kuliko Argentina
 
safi sana Iran, hata kama mtafungwa, mmeonyesha sio vibonde.
 
Huu mpira wa leo una majaabu sana,Iran anaweza kuweka historia hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…