Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmhhhh labda la udaku
Huyu refa anataka wasaidia Arg
Ghana watashinda leo jamani All the best Ghana.
Dah! Nimemwona Maradona. Katulia
Hahahaaa, kama unataka kuweka kamali yako kwa ghana utasaga meno....african team hatupo serious na haya mashindano....
Nahisi pia mwaka huu rais wa nigeria anaweza fungua inchi yake isishiriki worldcup mpaka wajipange upya...