Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Hata kama si vibonde huwezi ukawa na ndoto za mchana kiasi hicho ameshindwa kwa USA ataweza kwa GERMAN?Ghana si vibonde ka ufikiriavyo...Germany anakufa leo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama si vibonde huwezi ukawa na ndoto za mchana kiasi hicho ameshindwa kwa USA ataweza kwa GERMAN?Ghana si vibonde ka ufikiriavyo...Germany anakufa leo.
Hata kama si vibonde huwezi ukawa na ndoto za mchana kiasi hicho ameshindwa kwa USA ataweza kwa GERMAN?
Iran wapi unaowaongelea? hawa waliotoa droo na Nigeria? naomba tu uliondoe hilo kichwani ndugu ni ushauri tu
Costarica kwani ulifikiria ni vibonde? hata hivyo huwezi ukawa na matumain hayo kwa Ghana ilitakiwa mechi ya kwanza washinde then hii angalau wadroo labda kungekuwa na matumaini lakini tutegemee kichapo kutoka kwa MullerUruguay alishindwaje kumdhibiti Costa Rica, Na italia Je...!!?
Costarica kwani ulifikiria ni vibonde? hata hivyo huwezi ukawa na matumain hayo kwa Ghana ilitakiwa mechi ya kwanza washinde then hii angalau wadroo labda kungekuwa na matumaini lakini tutegemee kichapo kutoka kwa Muller
Huyu jamaa anajitafutia ugonjwa wa moyo,,,,,Iran wapi unaowaongelea? hawa waliotoa droo na Nigeria? naomba tu uliondoe hilo kichwani ndugu ni ushauri tu
Hawana uwezo wa kuifunga German kwa kiwango inachoonyesha kwenye hii michuanoPoint yako hapa ni ipi.. Kutokushinda mechi ya awali au Hawana uwezo wa kuwafunga germany??
Yaaani sijui amewaza niniHuyu jamaa anajitafutia ugonjwa wa moyo,,,,,
Hawana uwezo wa kuifunga German kwa kiwango inachoonyesha kwenye hii michuano
Sina uzalendo tena na timu za Africa, maana kila siku ni maumivu tu. Na leo hao ghana nitakuwa upande wao huku nikijiandaa kisaikolojia kwa kipigo.
Sawa mkuu tusikimbiane tuwepo hapa hapa,waafrika hawako serious kuchukua kombeSawa ndg..bado masaa kadhaa tuzijue mbivu na mbichi.
Sawa mkuu tusikimbiane tuwepo hapa hapa,waafrika hawako serious kuchukua kombe
waafrika ni washiriki tu