World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

waafrika ni washiriki tu
Ukweli ndo huo hawako serious kabisa kwa mfano Nigeria ambaye huku tunamtegemea na kumuona anatisha na anavyonyanyasa ameshindwa tena kizembe kuwapiga Iran wakati amewazidi kila kitu na mpira wao wa mdebwedo halafu tujipe moyo et atafika robo kweli? angalia nchi zingine zilivyo seriou kama netherland na zingine
 
Kitendo cha italy kushindwa kuifunga costa rica kimefanya mechi ya mwisho kati ya England na costa rica kupoteza mzuka wa kuitazama kabisa!
 
Bqqez6pIcAAnVzG.png
 
Ghana watashinda leo jamani All the best Ghana.
 
Argentina Leo anamfunga Iran 4-0 Kama sio 7! Leo Aguero na Messi watashindana magoli labda Kama Bi Maryam awe anao anao sana. Kama Iran akitowa Draw nipeni ban ya 6month.
 
Argentina Leo anamfunga Iran 4-0 Kama sio 7! Leo Aguero na Messi watashindana magoli labda Kama Bi Maryam awe anao anao sana. Kama Iran akitowa Draw nipeni ban ya 6month.

Mpira hautabiriki, Italy jana wamepelekwa puta na Costa Rica.
 
Hatuna mbinu za kuwafunga watu kutoka mataifa ya wemzetu mpaka sasa
Tushazoea kuona Club Kama yanga akifunga vi club vibovu Kama Comorro huko 7-0 basi tu nafikiri hao wachezaji wa Yanga na Simba ndio kwenye timu ya Taifa watafanya hayo mambo Kumbe wachezaji wanafikiria kombe Lao ni msosi ikulu na medal kwenda bungeni Mie nataka waende bungeni siku ya Fujo zao wapige bakora.
 
Nachopendea hili kombe la dunia ni wingi wa mashabiki
 
Argentina Leo anamfunga Iran 4-0 Kama sio 7! Leo Aguero na Messi watashindana magoli labda Kama Bi Maryam awe anao anao sana. Kama Iran akitowa Draw nipeni ban ya 6month.

Cc Invisible
 
Last edited by a moderator:
Hawa iran kwa nyukilia sawa sio kabumbu tena na argentina!
 
Back
Top Bottom