World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Uruguay alishindwaje kumdhibiti Costa Rica, Na italia Je...!!?
Costarica kwani ulifikiria ni vibonde? hata hivyo huwezi ukawa na matumain hayo kwa Ghana ilitakiwa mechi ya kwanza washinde then hii angalau wadroo labda kungekuwa na matumaini lakini tutegemee kichapo kutoka kwa Muller
 
Sina uzalendo tena na timu za Africa, maana kila siku ni maumivu tu. Na leo hao ghana nitakuwa upande wao huku nikijiandaa kisaikolojia kwa kipigo.
 
Point yako hapa ni ipi.. Kutokushinda mechi ya awali au Hawana uwezo wa kuwafunga germany??
 
Sina uzalendo tena na timu za Africa, maana kila siku ni maumivu tu. Na leo hao ghana nitakuwa upande wao huku nikijiandaa kisaikolojia kwa kipigo.

Kwann mnawahofia German? Ureno walicheza chin kiwango ndo maana mliona kama kina Muller wazur lakin ni wa kawaida sana wale!!
 
Leo najitangaza mapeema team Ghana,najua kitakachotokea lakini ah,basi tu mie Ghana.
 
Back
Top Bottom