safari ya argentina inaishia kwa uswisi
Kuna wachezaji reputation yao ya huko nyuma ndio inawasaidia lakini sio current form
Hondorus ipo wap?
Geografia imekaa kushoto
Nimeshangaa hajahudhuria Brazil,yaani kombe la dunia linampita hivi hiviNgoja nimcheki Premi kibanga atuambie maana schedule inaonyesha mukulu anakwdnda timbuktu then honduras mwezi wa July
Wala usihofu ghana watafanya zaidi ya iran.teamafrica ingawa najua I will be disappointed
Hivi ile mechi ya mwisho ya fainali hahudhurii kweli.......!!Nimeshangaa hajahudhuria Brazil,yaani kombe la dunia linampita hivi hivi
tuko pamoja,nategemea Ghana watafanya ambacho wengi hatutategemea
Inaonekana haiendi,atasingizia nini wakati Tanzania haijashiriki ataenda kumtembelea nani!Hivi ile mechi ya mwisho ya fainali hahudhurii kweli.......!!
kila wakiingia kwenye 18 walikuwa wanashindwa kupiga shuti,dah Messi akawaotea kwa mbaliThe marvalous Messi.....90minute