World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

kombe la Dunia hili mtu hupati vibonde vya reja reja kama zamani .Duh Iran waliwabania Argentina hadi dk za mwisho . sijaangalia mpira lakini nimependezewa jinsi mashindano haya yasivyo rahisi kutabirika kama ya awali
 
Ngoja nimcheki Premi kibanga atuambie maana schedule inaonyesha mukulu anakwdnda timbuktu then honduras mwezi wa July
Nimeshangaa hajahudhuria Brazil,yaani kombe la dunia linampita hivi hivi
 
Nimechelewa mechi ya Argentina na wairani Lo!

Hapa nikae mkao wa gahawa maana nimechoka sana, nsijesinzia nakaamka umekwisha.
 
Kila nikiwaza naona kama Germany haitafunga Ghana
 
Hivi ile mechi ya mwisho ya fainali hahudhurii kweli.......!!
Inaonekana haiendi,atasingizia nini wakati Tanzania haijashiriki ataenda kumtembelea nani!
Ila huwa hawachelewi kwa visingizio utasikia anafuatilia maswala ya kilimo huko Brazil kumbe ndo chance lenyewe.
 
Back
Top Bottom