Ngoja nimcheki Premi kibanga atuambie maana schedule inaonyesha mukulu anakwdnda timbuktu then honduras mwezi wa July
Kule Sauzi walipigwa goli 4 na wote hao walikuwepo
Duuuh etii
Duuuh etii
Whaaaaat? Hii nafasi goal keeper huwa haimuhusu? Nadhani kipa wa Iran ndiye angestahili.
Germany hamfungi Argentina hata refa awe German!
Boateng,Humels na huyo beki wa Arsenal wazito sana,watakuwa wanafika wkt Messi na Aguero wameisha nyanyua mikono wanashangilia wapo kwenye kibendera
Theory yako vipi mkuu.
nimesikitikaje hapa
msimamo wa kuweka wakati mpira umeshaanza na unakaribia kuisha ni batili hahahaah.
Leo ni nafasi ya Messi kujitengenezea mazingira ya kuwa mfungaji bora...