World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kule Sauzi walipigwa goli 4 na wote hao walikuwepo

Ghana alimtabisha Uruguay pia Sauzi mwaka 2010 lkn je wakicheza leo Suarez na Cavan huyu si balaa hilo kwa Ghana itakuwa?Point yangu hapo ni kuwa miaka 4 inaendana ama kukua kwa soka au kufifia!Messi wa 2010 sio huyu wa leo as well as Di Maria,Aguero na Higuain
 

Attachments

  • 1403376479026.jpg
    1403376479026.jpg
    34.7 KB · Views: 45
Germany hamfungi Argentina hata refa awe German!
Boateng,Humels na huyo beki wa Arsenal wazito sana,watakuwa wanafika wkt Messi na Aguero wameisha nyanyua mikono wanashangilia wapo kwenye kibendera

Naweza kubet na wewe kwahili mkuu, Germany ni nyo.ko
 
Which Boateng will be celebrating? Jerome plays for #GER - half brother Kevin-Prince plays for #GHA

BqrM-zqIYAAehyL.jpg
 
Back
Top Bottom