World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ghana waongeze umakini wa kulinda, kushambulia na kumiliki mpira
 
Mbona wajerumani wako nervous sana hata mashabiki wao leo?huenda sie tunachukulia poa timu zetu wakati wazungu tumbo joto.labda wana kumbukumbu na mbilinge za akina Pele,bao la pili goooo Gyan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…