World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

sasa nikuweka msitu katikati na nyuma halafu mashambulizi yawe counter attack.
 
BqrhboJCEAEU2Ke.jpg
 
Kuna uwezekano hili kundi kila timu ikawa na point tatu baada ya mechi ya kesho ya portugal
 
Huyu Mtoto mwengine wa Abeid Pele anataka bakora sasa piga Pasi ahlaaaa anafanya nini sasa.
 
Jordan Ayew kawa mchoyo tu,tulikuwa tunapata la 3.
 
Dah namie nimetaka kuzaa nayo na kichwa huku aghhhhhhh watu weweeeeeee
 
Back
Top Bottom