Baba Kelvin
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 788
- 139
...joY.
Ni goli lake la 15 katika WC
Brazil hawapendi europe naona mechi ya pili hii nawasikia wanazomea timu za ulaya na kushabikia za Africa..Mungu wangu huyu anafanya nini pale,lile pande si angempa Gyan afunge?haka ka Jordan kananiboa kweli.goli la tatu lile lilikuwa aisee dah!wenzetu wakija golini kwetu hawakosi hivi!
Sorrow
ghana wana kera sana!
wajerumani wanawaogopa ghana, tatizo ghana wanawapa confidence wajerumani.
....joy.
Tanzania