World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Brazil hawapendi europe naona mechi ya pili hii nawasikia wanazomea timu za ulaya na kushabikia za Africa..Mungu wangu huyu anafanya nini pale,lile pande si angempa Gyan afunge?haka ka Jordan kananiboa kweli.goli la tatu lile lilikuwa aisee dah!wenzetu wakija golini kwetu hawakosi hivi!

Haka katoto kameudhi sana pumbaf zake...Uchoyo tu usio na sababu..
 
wajerumani wanawaogopa ghana, tatizo ghana wanawapa confidence wajerumani.

Kweli mkuu,yaani mechi zote mbili Ghana imekuwa ikiwapa advantage wapinzani wakati ikiwa na kila sababu ya kushinda.hebu angalia mechi hii,inakuwaje hadi sasa ni 2-2 kwa mpira huu ulivyo?!
 
15 Goals kama El Phenomenol

BqrmP4bCYAAcWBR.jpg
 
Ranking Ya FIFA ikitoka utaona England ya 4 wakati kuna vitimu kama Chile vinakamua na haviingii hyo top 10
 
Back
Top Bottom