World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Umekua kama popo, mchana ndege usiku mnyama. Kila tim utayo shangilia wewe inafungwa tu, kulikoni?

We unanichokoza sio? Teh teh teh

Italia ndio team yangu, huku kwingine natoa sapoti tu. Ghana kwa sababu nadhani unaijuia
 
Sepp Blatter: "Robin van Persie's goal alone has made the trip to Brazil worthwhile"

 
Belgium wana possess sana lakini Russians are more dangerous.....

Wachezaji wa Belgium waliotegemewa kung'ara kwenye haya mashindano naona vivuli vyao tu, Hazard, Lukaku, Dembele
Ukimuacha Mertens hawa wengine ni kama hawapo vile, toa Hazard na De Bryne ingiza Milaris na Januzaj
 
Matokeo vipi wakuu leo sijisikii kabisa kuangalia mpira na hawa tanesco ndio wameharibu kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…