Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Bonge ya game,yyt anachapwa
Bora wamalize kwa sare.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bonge ya game,yyt anachapwa
Umekua kama popo, mchana ndege usiku mnyama. Kila tim utayo shangilia wewe inafungwa tu, kulikoni?
Russia siyo wabaya hata kidogo
Bana eeeh leo Russia apigwe tu watu wamewekeza kwa Belgium
Belgium wana possess sana lakini Russians are more dangerous.....
Yaani hawa tanesco..wametukatia umeme jamani looo..saitakuwaje na hii mechi
Huna uzalendo kabisa
Kuna ndugu yangu kila siku analia hata siku moja hajawahi kushinda huo utabiri lakini haachi kuwekeza.Bana eeeh leo Russia apigwe tu watu wamewekeza kwa Belgium
Matokeo vipi wakuu leo sijisikii kabisa kuangalia mpira na hawa tanesco ndio wameharibu kabisa...
Kuna ndugu yangu kila siku analia hata siku moja hajawahi kushinda huo utabiri lakini haachi kuwekeza.