World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mkenya kafunga goal,hongera sana Origi,chezea jaluo,Obama,Nyong'o, Origi
 
Kama nigeria akifungwa 1-0 na Argentina na iran akishinda 1-0 dhidi ya Bosnia nani atapita ktk round ya 16 bora? Coz watalingana kila kitu. Je, itapigwa special game?
 
Kukumbushana tu, Mara ya mwisho South Korea kucheza na Algeria ilikuwa ni mwaka 1985 na ilikuwa ni mechi ya kirafiki ambapo South Korea walishinda kwa bao 2-0. Mechi hii ilifanyika katika mji wa Nezahualcoyoti.
 
Leo matokeo yatakuwa kinyume na hayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…