Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Hahahahahahah....hii Kali
Mashoga hawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahah....hii Kali
3 - All three Belgian goals at WC have been scored by substitutes.
Tusubiri wakenya watakavosema..
Mashoga hawa.
Mkenya kafunga goal,hongera sana Origi,chezea jaluo,Obama,Nyong'o, Origi
Matokeo vipi wakuu leo sijisikii kabisa kuangalia mpira na hawa tanesco ndio wameharibu kabisa...
Soon tutaambiwa he is a first East african to score in the WC finals,ila kenye inatangazwa sema tu Alshabaab wanaiharibiaKBCTV ndo wanamjadili saizi yaani ni full misifa! Eti he is the first Kenyan to score in the WC finals.
Wale #TeamAfrica , mbona mmepooza kwa Algeria?
Wale #TeamAfrica , mbona mmepooza kwa Algeria?
Kukumbushana tu, Mara ya mwisho South Korea kucheza na Algeria ilikuwa ni mwaka 1985 na ilikuwa ni mechi ya kirafiki ambapo South Korea walishinda kwa bao 2-0. Mechi hii ilifanyika katika mji wa Nezahualcoyoti.