World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hawa Portugal wataniharibia siku hivi hivi wanawapa Marekani nafasi
 
Dempsey sijui kwa nini Tottenham walimuachia aende, ni mzuri hata kuliko Paulinho
 
G
Je Algeria wamekutana na team zilizokua na organization nzuri ya kujilinda? Imekutana na beki kama za Germany? Au Iran ambayo hata Argentina wenye utajiri wa world class strikers ilishindwa kuipasua ngome mpaka muujiza wa Messi?

Mkuu,sidhani kama umenielewa.nazungumzia plan and executions,kwa kutazama vipengele vya mobility na accuracy,sidhani kama inahitaji defence ngumu sana ili kuliona hilo.nadhani inahitaji tu kutazama ni jinsi gani mtu anaexecute plan aliyojipangia,tena akikutana na resistance ndogo ndio utamjua vizuri zaidi ukiwa mchunguzi.nakumbuka mechi fulani ya kombe la mabara,Nigeria walishinda goli 6 dhidi ya timu moja dhaifu sana,sijui unakumbuka Nigeria walikosa goli ngapi siku ile na walipoteza mipira mingapi ya mwisho?timu ile ile ilikutana na Spain kama sijakosea,unakumb uka attacking ya Spain ilikuwaje na walifunga goli ngapi?mobility na accuracy ya mtu utaijua tu iwe mechi ngumu,iwe rahisi.hata hivyo,nionavyo mimi,Korea si timu ya kubeza,sijui kama ulitazama mechi ya Russia na Korea.ngoja tuone mashindano yanavyoendelea ila so far Algeria ndio timu bora Africa according to FIFA na CAF!sijui wametumia vigezo gani?!
 
Zile imani kuwa Marekani haijui soka zitauliwa baada ya World cup hii . vipi mbona mpira umesimama kwa muda palikuwa na radi nini ? naangalia ktk television ya kispanish sielewi kinachoendelea
 
Hivi hii mechi Portual akishinda si anakuwa na point 3,USA anabaki na point zake 3,German 4 na Ghana 1.
Je mechi ijayo kama ikatokea Ghana akimfunga Portugal si anakuwa na Point 4,na ikatokea USA akadraw na German si anakuwa na 4,au itokee tena Portugal aje akadraw na Ghana ambapo anakuwa na point 4,na USA adraw na Germany.

Kwenye hiyo situation nani anasonga mbele???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…