Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Mdada silali mpaka mechi za siku ziishe!!!!!
Kesho utasinzia kazini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdada silali mpaka mechi za siku ziishe!!!!!
Kwa style hii?
Portugal itagonga wala mamba na vyura hawa
sasa hawa wareno wanacheza mpira gani tena
DaaaH! wacheni hizo wakuu! 🙂
Mdada silali mpaka mechi za siku ziishe!!!!!
Je Algeria wamekutana na team zilizokua na organization nzuri ya kujilinda? Imekutana na beki kama za Germany? Au Iran ambayo hata Argentina wenye utajiri wa world class strikers ilishindwa kuipasua ngome mpaka muujiza wa Messi?
Niliona jinsi mlivyokuwa mkiibeza Algeria!Tuache zipi??
Wanacheza kipuuzi sana, yule Dempsey atawafanya sasa hivi
Kesho utasinzia kazini
Mumeo anashida sana kwakweli
hii kali, wamepewa time out, imekuwa basketball?