Kama kawa...kama dawa
:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
USA baby!
Kazi ipo...
Nyani Ngabu ndio anaingia:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
USA baby!
Tatizo la Portugal wana two selfish players Nani na CR7. kila mtu anataka jina lake liwe gazetini

Atakuwa kafurahi aisee!
Portugal vibonde kweli
Tatizo la Portugal wana two selfish players Nani na CR7. kila mtu anataka jina lake liwe gazetini
Naaam! Lazima niwakilishe bana.....
Umeliona goli hilo lakini?