World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hawa Ureno naona kwa Ghana watapigwa tu waendeleze gundu lao ktk michuano mikubwa.

Scolari alijitahidi 2004 kuwafikisha final ya Euro lakini gundu likachukua nafasi yake...Ugiriki wakabeba ndoo.

Ureno ya akina Vitor Baia...Abel Xavier...Jorge Costa...Coutinho...Rui Costa...Luis Figo...Nuno Comes etc. Kama siyo gundu ni nini?

Ona saizi washasawazishiwa tayari baada ya mpaka poda Ronaldo kukosa goal.
 
Scolari confirms #BRA starting line-up v #CMR will be same as opening game v #CRO - would mean Hulk replacing Ramires
 
Tatizo la Portugal wana two selfish players Nani na CR7. kila mtu anataka jina lake liwe gazetini
 
hiyo sub walioifanya wareno ni kiboko, katoka afadhali kaingia potelea mbali.
 
Tatizo la Portugal wana two selfish players Nani na CR7. kila mtu anataka jina lake liwe gazetini

CRZ kwenye hii kombe ni sawa na wachezaji wanaocheza mara ya kwanza ambao hawajulikani,kiwango chake hamna kabisa
 
Bado pole pole mtaipa jina lingine USA!Sifa yake mpya sasa mtaliita kama TAIFA LENYE NGUVU KUBWA KTK KUTANDAZA KABUMBU Duniani!!
 
Tatizo la Portugal wana two selfish players Nani na CR7. kila mtu anataka jina lake liwe gazetini

Tutapompiga Germany alhamisi utawataja tena akina Kroos kama wabinafsi nina uhakika

Mkuu mpira ni programmes!USA wanatumia billion of dollars kila mwaka kwenye soka lzm in longrun matunda yaonekane jamani!Hawa jamaa hata ukijua kupiga tu kona na hasa kama ni under 16 wanakupa full scholarship na hela ya matumizi!

USA wanastahili mafanikio haya
 
USA wapo vyema jamani,acheni kasumba za zamani!Spain,Uingereza na kesho kutwa Italy wanarudi kwako sababu hawawekezi vya kutosha kwenye soka la vijana na kama wanao vijana hawawa amini!!
 
Back
Top Bottom