Kwa matokeo haya automatically kwaheri Ghana.
Huyu kocha haoni hili jama la Ureno jeusi lenye rasi jinga!
Kwa matokeo haya automatically kwaheri Ghana.
Huyu kocha haoni hili jama la Ureno jeusi lenye rasi jinga!
Kuna timu ambazo kwenye hili kombe la dunia sivielewi,vinapita kirahisi lakini nadhani hata wewe mwenyewe kwa kiasi flani huridhiki na viwango vyao ila hujui kwanini wanafanikiwa kuvuka kiajabu.
Timu kama Costa Rica mi nimefurahi wamevuka ila sijui hata mapungufu yao but nahisi something missing yaani kama kubahatisha,wengine USA nao hivo hivo kama Costa Rica.
Utakuja kushangaa Costa Rica inaingia nusu fainali.
Kwa matokeo haya automatically kwaheri Ghana.
Huyu kocha haoni hili jama la Ureno jeusi lenye rasi jinga!
Naomba kutofautiana na wewe, neither Costa Rica nor USA (kama matokeo yatabaki hivi) wamepita kirahisi hata kidogooo, in fact makundi ya hizi team ndio yametajwa kuwa makundi magumu zaidi (groups of death)
Wamecheza vizuri sana na wanastahili nafasi walizozipata, hakuna bahati, miujiza wala maajabu, it's simply FOOTBALL