World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Jahazi la wareno limetoboka.ushambuliaji wao si mzuri sana.angalia strikers wa wenzetu wanafunga hata kwa matumbo.wangekuwa akina fulani pale,angetaka kupiga na vyote,kichwa,miguu,tumbo..
 
Viol yaani USA inabahatisha?Daaah yaani Portugal na Ghana wote wamekaa bado unasema inabahatisha?Hauoni soka hilo?

Dah mi bado siamini kabisa,utashangaa wanamfunga hata Germany
 
Last edited by a moderator:
Kuna timu ambazo kwenye hili kombe la dunia sivielewi,vinapita kirahisi lakini nadhani hata wewe mwenyewe kwa kiasi flani huridhiki na viwango vyao ila hujui kwanini wanafanikiwa kuvuka kiajabu.

Timu kama Costa Rica mi nimefurahi wamevuka ila sijui hata mapungufu yao but nahisi something missing yaani kama kubahatisha,wengine USA nao hivo hivo kama Costa Rica.
Utakuja kushangaa Costa Rica inaingia nusu fainali.

Naomba kutofautiana na wewe, neither Costa Rica nor USA (kama matokeo yatabaki hivi) wamepita kirahisi hata kidogooo, in fact makundi ya hizi team ndio yametajwa kuwa makundi magumu zaidi (groups of death)
Wamecheza vizuri sana na wanastahili nafasi walizozipata, hakuna bahati, miujiza wala maajabu, it's simply FOOTBALL
 
Sijui una kipaji toka Kumasi sijui toka Accra sijui toka Younde bila kuwakusanya hao vijana na kuwekeza kwenye academies huwezi mfunga USA!
Leo ni heineken hadi asubuhi!!
 
mourihno ina maana mimi na wewe tunaangalia mpira tofauti?
 
Last edited by a moderator:
Naomba kutofautiana na wewe, neither Costa Rica nor USA (kama matokeo yatabaki hivi) wamepita kirahisi hata kidogooo, in fact makundi ya hizi team ndio yametajwa kuwa makundi magumu zaidi (groups of death)
Wamecheza vizuri sana na wanastahili nafasi walizozipata, hakuna bahati, miujiza wala maajabu, it's simply FOOTBALL

Costa Rica WAMEBAHATISHA? Viol ndugu yangu na uchambuzi wako mhhhh!Italy na Uruguay wote wamepigwa na Costarica tena convincingly bado unasema wamebahatisha?
 
Last edited by a moderator:
This is very cruel!Daah wanaibakiza Portugal mashindanoni kwa uzembe wa dakika ya mwisho
 
mpira dk 90 bana USA bado wana nafasi ya kuyaaga mashindano , Ghana watawafunga Portugal
 
BqxdBigCEAIq3R4.jpg:large
 
Back
Top Bottom