World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ronaldo apeleka msiba team US teh teh!world cup tamu kweli hii!
 
Tatizo hizi timu kubwa zinadharau tim ndogo,baadaye wakiotewa kurudisha inakuwa kazi,hata Germany itakuja kufungwa na USA kwa style hii,I'm sure leo hii Ghana na USA wangerudia mechi USA watafungwa,na Costa Rica angecheza tena na Uruguay angefungwa mengi tu,tusubiri robo fainali nadhani timu zingine zimeshajifunza tuone watafika wapi hawa kina USA
 
Duh .. hii wold cup ya mwaka huu burudani, incredible!
 
Ronaldo apeleka msiba team US teh teh!world cup tamu kweli hii!

Hakuna lolote, alikua anarukaruka tu na kawakosesha wenzake points mbili muhimu kwa uchoyo wake yeye na Nani, hamuoni Messi anavyolibeba Taifa lake?
 
Hakuna lolote, alikua anarukaruka tu na kawakosesha wenzake points mbili muhimu kwa uchoyo wake yeye na Nani, hamuoni Messi anavyolibeba Taifa lake?

Yah,overall performance yake mbovu kwa kweli.sio yule tuliyemzoea
 
This is very cruel!Daah wanaibakiza Portugal mashindanoni kwa uzembe wa dakika ya mwisho

Klinsmann ataongea na ndugu yake kwa kijerumani alafu watatoa droo... then wanapita kwenda round of 16.
 
mourihno kipindi kile niliposema mpira hauna heshima heshima ilikuwa usa wanaongoza 2-1
 
Last edited by a moderator:
USA points 4
Germany points 4
Portugal point 1
Ghana point 1
Kila team imebakiza match moja, now do the maths
Naona kama Ghana atakuwa anaombe USA afungwe na Germany Magoli mengi huku yeye amfunge Portugal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…