Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo hizi timu kubwa zinadharau tim ndogo,baadaye wakiotewa kurudisha inakuwa kazi,hata Germany itakuja kufungwa na USA kwa style hii,I'm sure leo hii Ghana na USA wangerudia mechi USA watafungwa,na Costa Rica angecheza tena na Uruguay angefungwa mengi tu,tusubiri robo fainali nadhani timu zingine zimeshajifunza tuone watafika wapi hawa kina USANaomba kutofautiana na wewe, neither Costa Rica nor USA (kama matokeo yatabaki hivi) wamepita kirahisi hata kidogooo, in fact makundi ya hizi team ndio yametajwa kuwa makundi magumu zaidi (groups of death)
Wamecheza vizuri sana na wanastahili nafasi walizozipata, hakuna bahati, miujiza wala maajabu, it's simply FOOTBALL
Ronaldo apeleka msiba team US teh teh!world cup tamu kweli hii!
Hakuna lolote, alikua anarukaruka tu na kawakosesha wenzake points mbili muhimu kwa uchoyo wake yeye na Nani, hamuoni Messi anavyolibeba Taifa lake?
This is very cruel!Daah wanaibakiza Portugal mashindanoni kwa uzembe wa dakika ya mwisho
Bado kuna watu hapa wana wasi wasi na USA na kiwango chao?
Yah,overall performance yake mbovu kwa kweli.sio yule tuliyemzoea
This is very cruel!Daah wanaibakiza Portugal mashindanoni kwa uzembe wa dakika ya mwisho
Bado kuna watu hapa wana wasi wasi na USA na kiwango chao?
Yah,overall performance yake mbovu kwa kweli.sio yule tuliyemzoea
Usiku mwema wadau
Vipi kwahiyo Ghana anatoka?
Timu za America naona zimeamua kusakata kabumbuu lenyewe
Naona kama Ghana atakuwa anaombe USA afungwe na Germany Magoli mengi huku yeye amfunge Portugal.USA points 4
Germany points 4
Portugal point 1
Ghana point 1
Kila team imebakiza match moja, now do the maths