Naona kama Ghana atakuwa anaombe USA afungwe na Germany Magoli mengi huku yeye amfunge Portugal.
GD ya USA ni 1, wakati ya Ghana ni -1, kama Ghana watashinda kwa tofauti ya goli 2 tu halafu USA ikatokea wakafungwa hata goli moja Ghana watapita
Una maanisha 2-0!,GD ya USA ni 1, wakati ya Ghana ni -1, kama Ghana watashinda kwa tofauti ya goli 2 tu halafu USA ikatokea wakafungwa hata goli moja Ghana watapita
Viol mimi ninapenda taifa stars tu
Bhana haya mambo ya nani amfunge nani haya bhana kwa magoli mangapi ..... Kiufupi Ghana kwaheri
Una maanisha 2-0!,
Je 2-1?
Mourinho kwenye karatasi portugal walikuwa wanapewa nafasi ya kushinda kuliko USA
USA beats or ties Germany: USA
Advances
USA loses and Portugal ties Ghana: USA
Advances
USA loses and Portugal beats Ghana by
less than 4 (very likely): USA Advances
USA loses and Ghana beats Portugal by
1: USA Advances
USA loses and Ghana beats Portugal by
more than 1: Ghana advances
This is all assuming that if the USA loses
by 1. If we lose by more, mark the goal
differentials down 1 as well (so Portugal
beats Ghana by 3 if we lose by 2, etc.)
Hizi "IF" zimeshakuwa nyingi kupita kiasi katika kundi hili, pamoja na Ghana na Portugal kuwa na point moja tu lakini bado nazo zina nafasi ya kuwemo katika 16 bora. Mechi za mwisho Alhamisi katika kundi hili zitakuwa tamu mno.
Bado kuna watu hapa wana wasi wasi na USA na kiwango chao?
Ghana ana tiketi mkononi mwake, Portugal hawachezi kama team kabisaa, kama watoto wa Ghana wataamua kufia uwanjani watakua na nafasi kubwa sana kufika 16 bora maana sioni namna gani USA akimfunga Germany
Timu zetu za Afrika Mkuu ndiyo kama hivyo unaweza kushangaa katika mechi muhimu kama hii ya Alhamisi, Ghana wakacheza kwa ubinafsi mkubwa kila mcheza akitaka yeye ndiye awe nyota na labda kujipattia mkataba mnono majuu. Wakicheza kama team na kuweka ubinafsi pembeni basi wana nafasi nzuri sana ya kusonga mbele. Hata Wajerumani nao itabidi wajipinde sana, vinginevyo wanaweza kuadhiriwa.