World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

mourihno kipindi kile niliposema mpira hauna heshima heshima ilikuwa usa wanaongoza 2-1
Cookie we inaonekana unashabikia USA,ulikuwa kimya kwanza kusoma upepo ulipoona USA inashinda ukashindwa kuzuia furaha.
 
Last edited by a moderator:
Naona kama Ghana atakuwa anaombe USA afungwe na Germany Magoli mengi huku yeye amfunge Portugal.

GD ya USA ni 1, wakati ya Ghana ni -1, kama Ghana watashinda kwa tofauti ya goli 2 tu halafu USA ikatokea wakafungwa hata goli moja Ghana watapita
 
Viol mimi ninapenda taifa stars tu
 
Last edited by a moderator:
Bhana haya mambo ya nani amfunge nani haya bhana kwa magoli mangapi ..... Kiufupi Ghana kwaheri
 
Hizi "IF" zimeshakuwa nyingi kupita kiasi katika kundi hili, pamoja na Ghana na Portugal kuwa na point moja tu lakini bado nazo zina nafasi ya kuwemo katika 16 bora. Mechi za mwisho Alhamisi katika kundi hili zitakuwa tamu mno.

GD ya USA ni 1, wakati ya Ghana ni -1, kama Ghana watashinda kwa tofauti ya goli 2 tu halafu USA ikatokea wakafungwa hata goli moja Ghana watapita
 
GD ya USA ni 1, wakati ya Ghana ni -1, kama Ghana watashinda kwa tofauti ya goli 2 tu halafu USA ikatokea wakafungwa hata goli moja Ghana watapita
Una maanisha 2-0!,
Je 2-1?
 
Mourinho kwenye karatasi portugal walikuwa wanapewa nafasi ya kushinda kuliko USA
 
Last edited by a moderator:
10414407_911789922170189_1714716554662117686_n.jpg

10485206_911789908836857_8702881299378339822_n.jpg

10421170_911789828836865_2834955580667100653_n.jpg

10373680_911789815503533_8329280399430013099_n.jpg

10502082_911789588836889_1813138948353265853_n.jpg

10352202_911789518836896_7496366036597143162_n.jpg

10402493_911789508836897_2631905560715968014_n.jpg

10262260_911789495503565_5528404899482023924_n.jpg

10351011_911789498836898_6419980123670110314_n.jpg

10410758_911789482170233_8000784816072604627_n.jpg

10384601_911789502170231_3624367235348126876_n.jpg

10474731_911789515503563_3605201744977959161_n.jpg
 
Viol mimi ninapenda taifa stars tu

Taifa Stars huwa hata sipendi kuangalia nasubiri niambiwe matokeo tukipiga story kidogo maumivu yanapungua kuliko kuona kwa macho,aaah yaani unaangalia game huku mapigo ya moyo unayasikia.
 
Last edited by a moderator:
USA beats or ties Germany: USA
Advances
USA loses and Portugal ties Ghana: USA
Advances
USA loses and Portugal beats Ghana by
less than 4 (very likely): USA Advances
USA loses and Ghana beats Portugal by
1: USA Advances
USA loses and Ghana beats Portugal by
more than 1: Ghana advances
This is all assuming that if the USA loses
by 1. If we lose by more, mark the goal
differentials down 1 as well (so Portugal
beats Ghana by 3 if we lose by 2, etc.)
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mourinho kwenye karatasi portugal walikuwa wanapewa nafasi ya kushinda kuliko USA

Sawa kabisa kwenye karatasi lakini mpira hauchezwi kwenye karatasi na uwanjani leo hii USA walicheza vizuri zaidi ya Portugal in fact USA wamecheza vizuri kwenye haya mashindano kuliko Portugal
 
Last edited by a moderator:
lol!!!! imeshakuwa tabu, Alhamisi tutaona attacking football ya hali ya juu, timu itakayozembea tu kushambulia na hivyo kupunguza uwezekano wa kushinda kwa goli nyingi na kujikusanyia points tatu muhimu, itakula kwao.

USA beats or ties Germany: USA
Advances
USA loses and Portugal ties Ghana: USA
Advances
USA loses and Portugal beats Ghana by
less than 4 (very likely): USA Advances
USA loses and Ghana beats Portugal by
1: USA Advances
USA loses and Ghana beats Portugal by
more than 1: Ghana advances
This is all assuming that if the USA loses
by 1. If we lose by more, mark the goal
differentials down 1 as well (so Portugal
beats Ghana by 3 if we lose by 2, etc.)
 
Hizi "IF" zimeshakuwa nyingi kupita kiasi katika kundi hili, pamoja na Ghana na Portugal kuwa na point moja tu lakini bado nazo zina nafasi ya kuwemo katika 16 bora. Mechi za mwisho Alhamisi katika kundi hili zitakuwa tamu mno.

Ghana ana tiketi mkononi mwake, Portugal hawachezi kama team kabisaa, kama watoto wa Ghana wataamua kufia uwanjani watakua na nafasi kubwa sana kufika 16 bora maana sioni namna gani USA akimfunga Germany
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Bado kuna watu hapa wana wasi wasi na USA na kiwango chao?

USA ndo walivyo wamecheza vizuri World Cup hii itakayofuata watacheza ovyo . game lao sawa na Waafrika lina regress kila miaka kadhaa
 
Timu zetu za Afrika Mkuu ndiyo kama hivyo unaweza kushangaa katika mechi muhimu kama hii ya Alhamisi, Ghana wakacheza kwa ubinafsi mkubwa kila mcheza akitaka yeye ndiye awe nyota na labda kujipattia mkataba mnono majuu. Wakicheza kama team na kuweka ubinafsi pembeni basi wana nafasi nzuri sana ya kusonga mbele. Hata Wajerumani nao itabidi wajipinde sana, vinginevyo wanaweza kuadhiriwa.

Ghana ana tiketi mkononi mwake, Portugal hawachezi kama team kabisaa, kama watoto wa Ghana wataamua kufia uwanjani watakua na nafasi kubwa sana kufika 16 bora maana sioni namna gani USA akimfunga Germany
 
Timu zetu za Afrika Mkuu ndiyo kama hivyo unaweza kushangaa katika mechi muhimu kama hii ya Alhamisi, Ghana wakacheza kwa ubinafsi mkubwa kila mcheza akitaka yeye ndiye awe nyota na labda kujipattia mkataba mnono majuu. Wakicheza kama team na kuweka ubinafsi pembeni basi wana nafasi nzuri sana ya kusonga mbele. Hata Wajerumani nao itabidi wajipinde sana, vinginevyo wanaweza kuadhiriwa.

Haswaaa na kocha wao naona ana tatizo kwenye kufanya selection
Naona na Mzee Van Gaal kaanza kulia na FIFA na ratiba yao inavyowabeba Brazil,
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Viol inabidi ubadilike tuiinge mkono timu yetu
Kama Iran wanaweza na sisi tutaweza
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom