Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
USA point 6? embu angalia source yako vizuri
Manchester United inaendelea kushika usukani kwa kufunga magoli mengi kwenye kombe la dunia kwa timu zinazotoka kwenye ligi ya Uingereza. Magoli 6.
Robin Van Persie-3
Maroune Fellain-1
Wayne Rooney-1
Luis Nani-1
Gerrard says Harry Redknapp should name the players who he claimed tried to avoid England duty
Wataangalia alphabets
Manchester United inaendelea kushika usukani kwa kufunga magoli mengi kwenye kombe la dunia kwa timu zinazotoka kwenye ligi ya Uingereza. Magoli 6.
Robin Van Persie-3
Maroune Fellain-1
Wayne Rooney-1
Luis Nani-1
Haya matokeo ya kusubiri flani atafunga au kufungwa hayafai kuzungumzwa kabisa. Twanga kotekote watafute pa kutokea wenyewe.
Hawa jamaa tupo nao bara moja ila sio waafrica
Proud with you Obama's boys
Waimba vigodoro bana.......Gerrard na Hodgson ni wapuuzi tu, wanatafuta namna ya kujipunguzia lawama kwa kutolewa mapema kwenye World Cup, tena kama Gerrard angekaa kimya tu maana magoli yote ya Uruguay yalipitia kwake, la ushindi akitoa 'assist to his pal'
Cha muhimu si kumlaumu Redknapp kwa kusema the obvious, ila kujua kwanini waingereza hasa damu changa hawana morali wa kuichezea nchi yao? mbona hata Callagher kwenye kitabu chake alisema alikua anapenda sana kuichezea Liverpool kuliko England, kwanini wasianze na huyo kama si unafiki tu.
kauli za wagalatia hizi
Ikifuatiwa na Liverpool yenye magoli 4. Suarez-2, Sturridge-1, Sissoko-1
Ikifuatiwa na Liverpool yenye magoli 4. Suarez-2, Sturridge-1, Sissoko-1
kweli? Hii sheria ipo?
Afadhali hao wachezaji wasitajwe coz watauawa kwa maneno!
Hya matokeo wayajua, unalo la kusema!??
Kwani hawa jamaa ni waafrika au waarabu? Algerians are Arabs not Africans!