World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

According to the Tie-Breaker Rules.
If everything will be the same against two teams then the following will be done.

"Drawing of lots by the FIFA Organising Committee"

Hilo ndio jibu mkuu.
 
Sio 2 mkuu,inabidi ziwe 3 kabisa hapa namaanisha Egypt, Morocco na hawa Algeria. Hlf hizo nafasi mbili zilizobaki moja iwe ya Ghana ingawa sometimes nao wanakera but at least. Then nafasi 1 iliyobaki ndo wangine waigombee. Hapo nafikiri akili zitakaa sawa

Hivi mnadiriki kweli kulinganisha Ghana na Algeria!!!? Ghana ni level za juu sana kinachowatokea ni matokeo ya kisoka tu. Algeria hawana kitu jana wamekutana na vibonde hivyo mnahisi kama wako vizur.
 
Hivi mnadiriki kweli kulinganisha Ghana na Algeria!!!? Ghana ni level za juu sana kinachowatokea ni matokeo ya kisoka tu. Algeria hawana kitu jana wamekutana na vibonde hivyo mnahisi kama wako vizur.

Tunazungumzia nidhamu ya soka mkuu,talent pekee haitoshi... Chukua mfano wa hapa bongo..! Hivi al ahli ya Egypt ilikuwa timu ya kuitoa Yanga kweli mwaka huu? Discipline imeangusha, that's why al ahli alifungwa kiulaini na ile timu ya Libya
 
Tuna haki ya kusema hivyo but Korea hana mpira wa kutiisha angekutana na wa-Mexico saiz tungekuwa tunaongea vingine.acha tu watufariji.

umdhaniaye ndiye, siye!
hata wangekutana na mexico ingekuwa sawa tu. mpira wa ALGERIA mzuri sana, spidi, usahihi wa pasi zao na malengo mazuri..:hail:
 
umdhaniaye ndiye, siye!
hata wangekutana na mexico ingekuwa sawa tu. mpira wa ALGERIA mzuri sana, spidi, usahihi wa pasi zao na malengo mazuri..:hail:
Ngoja leo Waafrika tuanze na Brazil ndiyo wataamini tunaweza....hahahahahaaa....
 
USA beats or ties Germany: USA
Advances
USA loses and Portugal ties Ghana: USA
Advances
USA loses and Portugal beats Ghana by
less than 4 (very likely): USA Advances
USA loses and Ghana beats Portugal by
1: USA Advances
USA loses and Ghana beats Portugal by
more than 1: Ghana advances
This is all assuming that if the USA loses
by 1. If we lose by more, mark the goal
differentials down 1 as well (so Portugal
beats Ghana by 3 if we lose by 2, etc.)

ujerumani hawezi kumwacha USA lazima atamchezesha kwata za kufa mtu. Ghana vile vile hawatawaacha ureno watambe. hizi ni mechi ambazo mtoto hatumwi sokoni na zitakuwa na magoli mengi mno.
 
Itakuwaje ikiwa Cameron ataifunga Brazil kisha mexico na croatia wakatoka suluhu ya magoli mengi?...
 
Waimba vigodoro bana.......Gerrard na Hodgson ni wapuuzi tu, wanatafuta namna ya kujipunguzia lawama kwa kutolewa mapema kwenye World Cup, tena kama Gerrard angekaa kimya tu maana magoli yote ya Uruguay yalipitia kwake, la ushindi akitoa 'assist to his pal'
Cha muhimu si kumlaumu Redknapp kwa kusema the obvious, ila kujua kwanini waingereza hasa damu changa hawana morali wa kuichezea nchi yao? mbona hata Callagher kwenye kitabu chake alisema alikua anapenda sana kuichezea Liverpool kuliko England, kwanini wasianze na huyo kama si unafiki tu.

WAINGEREZA WAMEJIUA WENYEWE.

1. wakati ligi kuu inaendelea vyombo vingi vya habari vya UINGEREZA(mfano Daily Mail) vilikuwa vinasema kwamba LIVERPOOL FC ikichukua ubingwa ni faida kwa timu ya taifa. Wakaanza mkakati wa kuzichukia timu nyingine na kuandika habari nyingi za LIVERPOOL na wachezaji wake. Ikumbukwe LIVERPOOL FC ndio timu yenye wachezaji wengi kwenye kikosi cha kwanza cha timu ya taifa ya UINGEREZA.
2. Waingereza waliwapuuza ASHLEY COLE na TERRY na hata kipenzi chao WAYNE ROONEY.
3. Kabla mashindano hayajaanza kocha mkuu alitaja hadharani mbinu zake, kwa kusema DAN STURRIDGE ndo mshambuliaji wake # 1, Wayne Rooney alilalamika kiasi fulani lakini akatulia.
4. Waingereza waliacha kutumia wachezaji wabunifu; kwenye sehemu ya kiungo. Berckley na Wilshere.Badala yake kocha akapendelea zaidi HENDERSON anayepiga pasi za pembeni tu.
5. Muunganiko wa Garry Cahill na Jagielka haukuwa mzuri; walipaswa kuutafutia dawa mapema. Garry Cahill ni beki mzuri; lakini Jagielka anacheza timu ambayo haijazoea sana kukaba.(i.e.Everton).
6. Roy ni kocha wa kawaida; kwa hiyo huwezi kutegemea alete mapinduzi makubwa kwenye timu ya taifa. Pia Roy amewahi kufanya kazi Fulham na Liverpool(walimfukuza lakini); hajawahi kuwa kocha mwenye mafanikio makubwa kulinganishwa na uzito wa mashindano yenyewe.
7. Kapteni wa Uingereza hakuwa imara kwenye mashindano haya; ili ushinde lazima uwe na kiungozi ambaye ni imara kwa maneno na hata kiwango chake uwanjani. Yaani anaongoza kwa mfano. Sasa bila ushabiki wowote wala chuki binafsi wa LFC, Gerrard alikuwa chanzo cha kuzorota kwa timu nzima.:angry:
 
Na mara nyingi huwa anafungisha magoli ya ajabu ajabu, hata juzi goi la pili la Uruguay alipiga kichwa acha ajabu ajabu wakati anaokoa mpira kuelekea golini kwake na Uruguay kunasa mpira na kufunga kirahisi.....
 
Line Up
CHI XI to play #NED: Bravo (c), Mena, Isla, Silva, Sanchez, Vargas, Gutierrez, Medel, Jara, Aranguiz, Diaz.

#NED XI to play #CHI: Cillessen, Vlaar. De Vrij, Blind, De Jong, Janmaat, Sneijder, Robben (c), Kuyt, Lens, Wijnaldum.
 
#ESP LINE-UP: Reina, Albiol, Juanfran, Iniesta, Villa, Torres, Alonso, Ramos (c), Koke, Alba, Cazorla

#AUS LINE-UP: Ryan, Davidson, Spiranovic, Leckie, Taggart, Oar, Bozanic, Jedinak (c), McKay, McGowan, Wilkinson
 
Koke and Juan Mata are the future of Spain, according to former star
 
Back
Top Bottom