Ebwana kama tuko pamoja unaonaje,!? Mi binafsi nafurahishwa na hii michezo inayoendelea..kabla ya mechi ya ufunguzi..daah!!
Inapendeza sana!
J.lo ndani ya nyumba...
mmmh dah mbona king'amuzi changu hakina superspot ! Nrushie basi !!
mmh mbona miye sioni !!
Mida mibovu hiyo....
Ndio maana thread hii imetengenezwa.Matukio na Matokeo yote ya Kombe la dunia toka mechi ya kwanza hadi mwisho tuweke hapa.
Tukianza mechi ya leo
Truddy kashaingia kuimba ufunguzi?Sasa ni Opening Ceremony Live
shost leo hamna kulala !!
Huyu Belo au DonDonald amkeni. Tehtehteh.
Truddy kashaingia kuimba ufunguzi?