World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Jamani mechi ikianza mnishtue asee! Nalala kiduchu!

ImageUploadedByJamiiForums1402598801.497552.jpg

Haya ntakuamsha
 
Mmmh dah mbona king'amuzi changu hakina superspot ! Nrushie basi !!
 
Ebwana kama tuko pamoja unaonaje,!? Mi binafsi nafurahishwa na hii michezo inayoendelea..kabla ya mechi ya ufunguzi..daah!!
Inapendeza sana!
J.lo ndani ya nyumba...

World of champions!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nilikuwaga na ndoto ya kwenda Brazil hasa WC, nimeshindwa mwishoni kabisa.

Nitaenda tu
 
mmmh dah mbona king'amuzi changu hakina superspot ! Nrushie basi !!

mi sijui hata habari ya ving'amuzi, kuna kakampuni flani wametusambazia cable,,tuliNApia 5000 kwa mwezi, channel kibao.
 
Matukio na Matokeo yote ya Kombe la dunia toka mechi ya kwanza hadi mwisho tuweke hapa.

Tukianza mechi ya leo
 
Aisee hiki kiwaanja kinawaka hadi raha halafu wabrazil wanapenda mpira sana daaa wamejaa utafikiri hawakuwai kuandamana.
 
Back
Top Bottom