Mnyakatari
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 2,073
- 1,862
kichekesho ni Brazil atakaposhika nafasi ya pili iwapo Mexico atamfunga Croatia na Brazil wakadraw mwchi yao....
Hatujambo my wii, team gani leo? Holland siwapendagi toka 2010 walipotutoaga Ghana. Sina hamu nao
Maamuz ya refa yana utata
Cameroon hawa wanaoacha kupiga mpira kichwa na kupigana vichwa wenyewe!?
Holland bora ashinde ili amkwepe Brazil,naamini Brazil ataongoza kundi lake kwa kumfunga Cameroon
Holland bora ashinde ili amkwepe Brazil,naamini Brazil ataongoza kundi lake kwa kumfunga Cameroon
hata hivyo hawa fifa siwafagilii kabisa ratiba ilibadilishwa. mechi za kundi A zilitakiwa zianze kuchezwa lakini wamefanya maksudi ilikumtafutia brazil timu weaker maana tayari ataingia uwanjani hali akijua matokeo ya kundi B. Usishange leo Chile akishinda ukaona brazil anatoa draw na cameroon.
brazil hawezi kufika mbali kwa mpira anaocheza unless fifa wambebe. Tena asiombe game zinazofuata akutane na timu yoyote ya amerika kusini safari itakuwa imefika.Brazil sio tishio kama Mexico au Croatia....Brazil uenyeji tu ila kiwango chao ni average sana.
Brazil hana cha kukwepa,Holland na Chile wote ni wagumu sana,hata akikutana na Chile bado ana kazi kubwa mno
Brazil hana cha kukwepa,Holland na Chile wote ni wagumu sana,hata akikutana na Chile bado ana kazi kubwa mno
Holland wanamuogopa Brazil kwa sababu ya uenyeji,refa nae anaweza akawa mwiba,najua mashabiki Brazil ikitolewa mapema huko patakuwa pachungu,watu watasema tumekuwa maskini na timu nayo imetolewa.Brazil hana cha kukwepa,Holland na Chile wote ni wagumu sana,hata akikutana na Chile bado ana kazi kubwa mno
Brazil sio tishio kama Mexico au Croatia....Brazil uenyeji tu ila kiwango chao ni average sana.
Brazil naona safari yake inaishia kwenye 16 bora hana ubavu wa kuvuka zaidi ya hapo.brazil hawezi kufika mbali kwa mpira anaocheza unless fifa wambebe. Tena asiombe game zinazofuata akutane na timu yoyote ya amerika kusini safari itakuwa imefika.
Brazil naona safari yake inaishia kwenye 16 bora hana ubavu wa kuvuka zaidi ya hapo.