World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Holland bora ashinde ili amkwepe Brazil,naamini Brazil ataongoza kundi lake kwa kumfunga Cameroon

hata hivyo hawa fifa siwafagilii kabisa ratiba ilibadilishwa. mechi za kundi A zilitakiwa zianze kuchezwa lakini wamefanya maksudi ilikumtafutia brazil timu weaker maana tayari ataingia uwanjani hali akijua matokeo ya kundi B. Usishange leo Chile akishinda ukaona brazil anatoa draw na cameroon.
 
Brazil hana cha kukwepa,Holland na Chile wote ni wagumu sana,hata akikutana na Chile bado ana kazi kubwa mno
 
Brazil sio tishio kama Mexico au Croatia....Brazil uenyeji tu ila kiwango chao ni average sana.
brazil hawezi kufika mbali kwa mpira anaocheza unless fifa wambebe. Tena asiombe game zinazofuata akutane na timu yoyote ya amerika kusini safari itakuwa imefika.
 
Brazil hana cha kukwepa,Holland na Chile wote ni wagumu sana,hata akikutana na Chile bado ana kazi kubwa mno

kweli kabisa Brazil akikutana na yeyote kati ya hawa ana kibarua kigumu.
 
Brazil hana cha kukwepa,Holland na Chile wote ni wagumu sana,hata akikutana na Chile bado ana kazi kubwa mno
Holland wanamuogopa Brazil kwa sababu ya uenyeji,refa nae anaweza akawa mwiba,najua mashabiki Brazil ikitolewa mapema huko patakuwa pachungu,watu watasema tumekuwa maskini na timu nayo imetolewa.
 
brazil hawezi kufika mbali kwa mpira anaocheza unless fifa wambebe. Tena asiombe game zinazofuata akutane na timu yoyote ya amerika kusini safari itakuwa imefika.
Brazil naona safari yake inaishia kwenye 16 bora hana ubavu wa kuvuka zaidi ya hapo.
 
Don’t write off tiki-taka just yet - here’s David Vila’s opener for #ESP against #AUS

Bq1JrxcCMAI2x_B.png
 
Back
Top Bottom