World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Holland watavusha hili kombe,wakimpiga chile hadi mwisho,sioni team nyingine ya kuwazuia.
Hata Sout walikuwa hivi hivi wakatukera fainali, mimi wala siiweki shilingi yangu kwao watanikera tu hawa. Ila nawaombea mema, shilingi yangu naiweka kwa mgeni kabisa asiyetarajiwa, nahisi kama atafanya makuu mwaka huu. Wakati watu wanastuka, yeye ndio atafanya kweli si mwingine ni Belgium.
 

Mhh! Una jicho la tatu wewe!!!
 
Lakini si unakumbuka waligungwa goal moja tu kama nakumbuka vizuri,bahati haikuwa yao.Safari hii itakuwa wamejiwekea kuwa no matter what,hawatakiwi kufanya makosa.
 
Yaliyopita si ndwere tugange yajayo, kila la heri Cameroon,neno langu la usia ni hili jitahidini kucheza kufa na kupona,hata kama mnakufa jitahidini mfe Kikondoo,komalieni hao Brazil mpaka waelewe somo,kama vile Ghana kwa Germany,tupeni rahaaaa!!!!
 
David Villa will bid farewell to international football. He played 97 times for Spain, scoring 59 goals.

 
Wale team uzalendo leo mtanisamehe kabisa.
Mimi ni #teamBrazil # damu, sasa huu mtego wa leo na Cameroon mmmh.
#teamBrazil #

Ohhh! Ukipewa kibano usirudi nyumbani baki huko huko Brazil,kwangu mimi hii mechi ni for fun si kwa ushabiki atakayeshinda yote heri,ila napenda Cameroon alete upinzani mkubwa ili game liwe tamu,afe kikondoo tu!!
 
Robben: "The manager has made me an offer to go with him to England next season. I will consider it after the World Cup."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…