Shedafa
JF-Expert Member
- May 21, 2008
- 802
- 175
Hata Sout walikuwa hivi hivi wakatukera fainali, mimi wala siiweki shilingi yangu kwao watanikera tu hawa. Ila nawaombea mema, shilingi yangu naiweka kwa mgeni kabisa asiyetarajiwa, nahisi kama atafanya makuu mwaka huu. Wakati watu wanastuka, yeye ndio atafanya kweli si mwingine ni Belgium.Holland watavusha hili kombe,wakimpiga chile hadi mwisho,sioni team nyingine ya kuwazuia.



