World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ohhh! Ukipewa kibano usirudi nyumbani baki huko huko Brazil,kwangu mimi hii mechi ni for fun si kwa ushabiki atakayeshinda yote heri,ila napenda Cameroon alete upinzani mkubwa ili game liwe tamu,afe kikondoo tu!!

Hahahahahaaaa nimechekaje? Brazil ndio timu yangu miaka yote, uzalendo nauweka pembeni kidogo.
 
Acheni ubaguzi usiokua na macho wala masikio. kwahiyo jamaica iko Afrika ama amerika ? ata kama ni waarabu lakini wapo katika bara la Afrika na wanaiwakilisha afrika na sio bara lengine tofauti na Afrika.

wanatokea afrika lakini hawawakilishi waafrika bali wanawawakilisha waarabu. upo hapo?
 
Line ups

Cameroon: Itandje, Nkoulou, Nguemo, Moukandjo, Aboubakar, Bedimo, Choupo Moting, Mbia, Enoh, Matip, Nyom

Brazil: Julio Cesar, Dani Alves, Thiago Silva (c), David Luiz, Marcelo, Hulk, Paulinho, Fred, Neymar, Oscar, Luiz Gustavo
 
Line ups

Croatia: Pletikosa, Vrsaljko, Pranjic, Perisic, Corluka, Lovren, Rakitic, Modric, Srna, Mandzukic, Olic

Mexico: Ochoa, Rodriguez, Marquez (c), Herrera, Layun, Dos Santos, Moreno, Guardado, Peralta, Aguilar, Vazquez
 
Mimi timu itakayoshinda hiyo hiyo,juzi Nigeria na Bosnia,nusu nizimie kwa BP,zile dakika za mwisho Nigeri walivyokuwa wanakosa mabao,kwanza naangalia match nikijua kuwa Cameroon wametolewa,kundi litakalonipa pressure ni la Ghana,sitaangalia Ghana na Portugal,wala German na USA.
 
But are in the African contnent!! Aren't they? So they are Africans irespectuve of their ethnicity.

So, you think everybody in the African Continent is an African? Poor you!
 
Line ups

Cameroon: Itandje, Nkoulou, Nguemo, Moukandjo, Aboubakar, Bedimo, Choupo Moting, Mbia, Enoh, Matip, Nyom

Brazil: Julio Cesar, Dani Alves, Thiago Silva (c), David Luiz, Marcelo, Hulk, Paulinho, Fred, Neymar, Oscar, Luiz Gustavo

Naona wale mabwege waliochapana juzi hawapo leo.....
 
Hearing Robben quoted after the game saying Van Gaal has made him an offer to join him in England and he'll consider it after the World Cup
 
Lakini si unakumbuka waligungwa goal moja tu kama nakumbuka vizuri,bahati haikuwa yao.Safari hii itakuwa wamejiwekea kuwa no matter what,hawatakiwi kufanya makosa.
Ilinikera kwa sababu haikuwa mechi ya kufungwa ile, Spain hawakuwa wazuri hivyo. Hivyo hivyo nahisi ndiyo yatakayotokea wakati usiotarajiwa, hasa kama watakutana na timu dhaifu ya Brazil.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…