Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
haha hapa najoin Cameroon kwa ajil ya uzalendo tu
Kama una ugonjwa wa moyo bora umuunge mkono Bantu lady.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haha hapa najoin Cameroon kwa ajil ya uzalendo tu
Ohhh! Ukipewa kibano usirudi nyumbani baki huko huko Brazil,kwangu mimi hii mechi ni for fun si kwa ushabiki atakayeshinda yote heri,ila napenda Cameroon alete upinzani mkubwa ili game liwe tamu,afe kikondoo tu!!
Aende tu ila sijui kama atawika sana tena.Robben: "The manager has made me an offer to go with him to England next season. I will consider it after the World Cup."
Kama una ugonjwa wa moyo bora umuunge mkono Bantu lady.
#TeamBrazil ngoja niwe against nyie wengi
Acheni ubaguzi usiokua na macho wala masikio. kwahiyo jamaica iko Afrika ama amerika ? ata kama ni waarabu lakini wapo katika bara la Afrika na wanaiwakilisha afrika na sio bara lengine tofauti na Afrika.
Kama una ugonjwa wa moyo bora umuunge mkono Bantu lady.
somebody please tell me whats wrong with the table???
But are in the African contnent!! Aren't they? So they are Africans irespectuve of their ethnicity.
Hahahahahahaa kaka Katavi vibaya hivyo, karibu kwenye timu yangu ya kutoka moyoni.
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teamBrazil]#teamBrazil [/URL] #
Line ups
Cameroon: Itandje, Nkoulou, Nguemo, Moukandjo, Aboubakar, Bedimo, Choupo Moting, Mbia, Enoh, Matip, Nyom
Brazil: Julio Cesar, Dani Alves, Thiago Silva (c), David Luiz, Marcelo, Hulk, Paulinho, Fred, Neymar, Oscar, Luiz Gustavo
Leo wangezichapa tena.Naona wale mabwege waliochapana juzi hawapo leo.....
Leo wangezichapa tena.
Ilinikera kwa sababu haikuwa mechi ya kufungwa ile, Spain hawakuwa wazuri hivyo. Hivyo hivyo nahisi ndiyo yatakayotokea wakati usiotarajiwa, hasa kama watakutana na timu dhaifu ya Brazil.Lakini si unakumbuka waligungwa goal moja tu kama nakumbuka vizuri,bahati haikuwa yao.Safari hii itakuwa wamejiwekea kuwa no matter what,hawatakiwi kufanya makosa.