Baba Kelvin
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 788
- 139
Top scorer mpaka sasa ni nani jamani?
Jamani huyu Neyma atatuulia mwaafrika mwenzetu
Hatimaye Fred amefunga goal
Tehtehteh walikuwa wanazile jezi zao za basketball kuonyesha wamebeba sana mifuko ya cement aliokuwa Fidodido alikuwa. Etoo tu na marehemu Vivian Foe mungu amrehemu R.I.P.
Tehtehteh walikuwa wanazile jezi zao za basketball kuonyesha wamebeba sana mifuko ya cement aliokuwa Fidodido alikuwa. Etoo tu na marehemu Vivian Foe mungu amrehemu R.I.P.
dogo Artist sio footballer anacheza Kama anachezea cha ndimu tobo bao unaweza kuaibishwa ukampa bonge la Kwenzi Booom!Huyu Neyma nae kazidisha youtube hapa uwanjani bana daaaah
What dont you see that you want to see??
Mkeka unadumu?