Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Pangemfaa Diego Costa ila sijui kwanini akuchagua Brazil
Kweli kabisa na ndio maana wabrazil walikuwa wanamzomea sana. Ila inasemekana kocha hakumchagua ndio maana akaamua kuwa hispania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pangemfaa Diego Costa ila sijui kwanini akuchagua Brazil
daaah namkumbuka mboma na njitap .
Half tym brazil 2-1 camerun
Kweli kabisa na ndio maana wabrazil walikuwa wanamzomea sana. Ila inasemekana kocha hakumchagua ndio maana akaamua kuwa hispania.
Cameroon wawavunje tu miguu hao wapenda sifa, mpira wenyewe hawajui.....
daaah namkumbuka mboma na njitap .
Sishabikii timu za AFrica,kwani sweden wanashabikia Germany?
Kipindi cha pili #teamCameroon tunasawazisha na kuchukua ushindi wetu.....
Utanipa matokeo mi nalala muda huu
Naona wale mabwege waliochapana juzi hawapo leo.....
haa tangu lini?
daaah namkumbuka mboma na njitap .
NJItaP mtoto Kama Naymar angegongana naye basi Naymair sasa hivi angekuwa Hospital jamaa Yule akitema mate yanadunda! NJItaP njemba si mchezo ile.daaah namkumbuka mboma na njitap .