World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Pangemfaa Diego Costa ila sijui kwanini akuchagua Brazil

Kweli kabisa na ndio maana wabrazil walikuwa wanamzomea sana. Ila inasemekana kocha hakumchagua ndio maana akaamua kuwa hispania.
 
Speed yote hii ya Brazil ni kumkwepa Netherlands tu. Chezea Robben wewe
 
ndio maana walimlilia costa scolari akaona jo na fred ni kama ronaldo na ronaldo akamjibu ujinga costa c bora anagemuita ronaldinho na kaka.
 
Back
Top Bottom