World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Rafael Marquez...the former FC Barcelona player!
What a time to score... what a captain!
 
Mkuu uliweka mzigo nini?

Kuna kamzigo nilikapata baada ya mkeka wa timu saba kushinda zote , nikaona isiwe mbaya ngoja nimpe Croatia yaani amekula hadi hela ya chai. Dah imeniuma sana ningekuwa na uwezo ningewachapa vibao hao washenzi.
 
Mexico 1-0 Croatia,,,,Rodriguez

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Kuna kamzigo nilikapata baada ya mkeka wa timu saba kushinda zote , nikaona isiwe mbaya ngoja nimpe Croatia yaani amekula hadi hela ya chai. Dah imeniuma sana ningekuwa na uwezo ningewachapa vibao hao washenzi.

Teh teh teh pole mkuu

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Teh teh teh pole mkuu

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Kweli majanga hii ni mara ya tatu napoteza hela ya chai. Na sikomi, kesho nitajaza tena naweka mikeka mitano ambayo itanizalishia maradufu
 
Ha ha ha Mkeka Muhindi ashakula hela ukiona hivyo

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Mie niko mbali na hiyo Tanzania. Ngoja nijivute kesho niongeze kidogo ikiisha basi hadi nikirudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…