Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nchi zetu huyo wala asingependa kufanya hiyo kazi...!
Hernandez la 3 Mexico 3-0 time za kulala sasa jamani usiku mwema kwa wa usiku mnaendelea Kaeni salama.
Mexico 3 bandugu. Huenda mexico akaongoza kundi au mnasemaje.
Kuna kamzigo nilikapata baada ya mkeka wa timu saba kushinda zote , nikaona isiwe mbaya ngoja nimpe Croatia yaani amekula hadi hela ya chai. Dah imeniuma sana ningekuwa na uwezo ningewachapa vibao hao washenzi.