Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It is official now, Brasil vs. Chile and Mexico vs. Holland in the 2nd round.
Goal la kwanza la Neymar lilikua la 100, + 4 + 4(mechi ya Mex) = 108
Goal la kwanza la Neymar lilikua la 100, + 4 + 4(mechi ya Mex) = 108
Au wote
Namsikiliza mchambuzi wa UBC (Uganda) anasema mpaka sasa zimefika 107 goals. Sijui wewe na yeye nani yupo sahihi.
Alifeli hesabu za shule ya msingi bila shaka
Alifeli hesabu za shule ya msingi bila shaka
Impossible is nothing. Jinsi haya mashindano yalivyo mwaka huu sitoshangaa wote wakiyaaga, mkuu.
Hahahaa inawezekana maana kaanza kwa kusema ni 106 halafu akasema ni 107.
Poa mkuu
Namsikiliza mchambuzi wa UBC (Uganda) anasema mpaka sasa zimefika 107 goals. Sijui wewe na yeye nani yupo sahihi.
Hii itakuwa bonge la game,ila Chile waje kivingine siyo kama leo,Mexico na Holland itakuwa tamu hiyooo!,si ya kukosa!!!
Umeongea sahihi kabisa..!! Haki yao lazima wapate suala la kushinda/ kushindwa ni matokeo tu maana lazima awepo wa mwisho.nashindwa kuelewa wabongo wanaolalamika na kuwasimanga Cameroon kwa kugoma na kudai haki yao ya posho. Inaelekea Wabongo tumeshazowea kudhulumiwa na tunaona ni kawaida na sehemu moja ya maisha yetu. Heko kwa wachezaji wa Cameroon na wapopo wengine mfano Togo, na Nigeria waliowahi kugoma hadi wapate haki yao. Ikumbukwe kila nchi inayoshiriki katika Kombe la Dunia, Kombe la Mataifa Afrika, UCL,Europa League inapewa posho inayotakiwa kwenda kwa Wachezaji na mastaff wengine. Sasa haki isipotendeka, lazima watu wachukuwe measures zinazostahili. AMEN!!!!