Maskini Andre Pirlo!Dunia ya soka itakukumbuka sana!Nitakuja kuwaambia wajukuu zangu miaka ijayo kuwa nilibahatika kuwaona kwenye TV FIVE great players:Zinadine Zidane,Ronaldo De Lima,Andre Pirlo,CR7 na Messi
Goodbye Andre Pirlo the greatest
huyu nae mara akasirike kwa sababu hajaimbiwa 'happy birthday to you' sasa anakuja na hii....kashakuwa 'DIVA' huyu primadonna mkubwa!
Hamna mtu ninayemsikitikia kama Pirlo leo jamani!
Suarez hawaachi hata kidogo
huyu cr7 wenu boya tu mechi mbili hana goli,ila ameingia saloon mara3 messi mechi mbili,goli mbili na two man of the match award,cr kaz urembo tu hana lolote atasubiri xana kwa messi
huyu nae mara akasirike kwa sababu hajaimbiwa 'happy birthday to you' sasa anakuja na hii....kashakuwa 'DIVA' huyu primadonna mkubwa!
messi 2010 world cup alifunga mangapi
Acha kuwa insensitive, jamaa anahudhunika kufiwa na ndugu yake afu unaongea hivi kweli.
2010 messi na cr7 perfomance yao ilikua poor ila mwaka huu messi ka improve cr7 hamna lolote na wanatoka makundi
team italy hata wakitoka
Maskini Andre Pirlo!Dunia ya soka itakukumbuka sana!Nitakuja kuwaambia wajukuu zangu miaka ijayo kuwa nilibahatika kuwaona kwenye TV FIVE great players:Zinadine Zidane,Ronaldo De Lima,Andre Pirlo,CR7 na Messi
Goodbye Andre Pirlo the greatest
je nani timu inampa support ya kutosha? messi au cr7??
messi 2010 world cup alifunga mangapi
Ukimaanisha kwamba kila anayekunywa analewa haijalishi anakunywa pombe gani? na huku kwenye mpira ikojeUshabiki ni kama ulevi mtu anayekunywa safari anamdhalau anayekunywa serengeti na yule wa Konyagi huwa anajiona yeye ni zaidi kuliko wote lakini mwisho wa siku ni yule anayekunywa nyingi ndio analewa. na yule anayeongezea na nyama choma utamu unakuwa mkubwa zaidi.
Tuache ubishi Messi kaimprove bana siyo kama WC 2010...huwezi mlinganisha na CR7 ktk WC hii.