rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Maskini Andre Pirlo!Dunia ya soka itakukumbuka sana!Nitakuja kuwaambia wajukuu zangu miaka ijayo kuwa nilibahatika kuwaona kwenye TV FIVE great players:Zinadine Zidane,Ronaldo De Lima,Andre Pirlo,CR7 na Messi
Goodbye Andre Pirlo the greatest
Wajukuu zako nao watawaambia wajukuu zao kuwa wamewahi kuwaona hao katika Youtube au program mpya itakayokuwepo enzi nzao vile vile watawaambia wajukuu zao waliwahi kuwaona Five greatest players wa miaka yao katika TV,TVPhones, TVPalms. Ndo uzuri wa soka kila generation ina great players wake.