World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

wanajitetea eti timu haijafanya vizuri kwa vile wachezaji hawajakaaa pamoja muda mrefu. Who cares!

Hawa mabwege wa kwa malkia walikuwa wananiacha hoi na formation yao ya 4-2-4. Nilikuwa sijawahi kuiona popote pale. Leo naona wamegundua ujinga wao
 
Nimeangalia kidogo game Uingereza na Coatarica ni kichekesho kitupu!Uingereza anacheza kama UMISETA
 
jamani tanesco wameshafanya yao huku kwetu!!!!tupeane updates
 
Daaaah kwa mara ya kwanza tangu WC hii imeanza ndo nayaona machungu ya muhongo na tanesco yake daah
Nitamshuhudiaje Suarez leo
 
walidhani hizi ni propaganda za media walizozoea.

Soka ya timu ya taifa ya England haina IDENTITY, sio pass pass, sio tikitaka, sio kupaki pasi, sio piga mbele fukuza, sio chochote... Mwisho wa siku ndio maana Babu akaja na 4-2-4 akaacha midfielder wake exposed
 
jamani mwenye link ya kuona live atusaidie tanesco washatuvuluga huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…