World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Daaaah kwa mara ya kwanza tangu WC hii imeanza ndo nayaona machungu ya muhongo na tanesco yake daah
Nitamshuhudiaje Suarez leo

Yule Babu Muhongo kama angekuwa anatembea kwa miguu akipita kitaani kwangu namuitia mwiziiiiiiii ili wananchi wamgombanie. Mi nilishajipangia dakika tano Belo Horizonte, dakika tano Natal,,, naishia kuangalia JF
 
Afa hata hawajistukii leo wanakata tu tangu asubuhi daaah muhongo na timu take wanakera sana
 
Italy kamdhibiti Uruguay na Suarez wao!!Wasipo badili tactics Uruguay wapo kwenye matatizo makubwa
 
Ningekuwa mie kocha wa Italy ningemtoa Baloteli maana anapoelekea ni kupata kadi nyekundu
 
Italy kamdhibiti Uruguay na Suarez wao!!Wasipo badili tactics Uruguay wapo kwenye matatizo makubwa

uruguay mpira wao uko hivyo hivyo mwishoni wanashinda 1 wanasonga mbele. kipindi cha pili kitakuwa kigumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…